Kama unataka kubadilisha imei kwenye android yako anza kwa kuandika *#*#3646633#*#* kwenye dialpad yako ya simu ambayo unabadilisha imei(Ikikubali endelea na step nambari 2).
Kisipo tokea chochote unatakiwa kuwa na;
- salio au kifurushi cha internet cha kuweza kupakua 5mb au zaidi
Ukiwa navyo hivyo vote, pakua applikesheni ya "
MTK Engineering Mode" au "
Mobileuncle Tools" kutoka playstore alafu install kisha fuata maelekezo ya fuatayo:
- Fungua applikesheni alafu bofya Engineer Mode > Engineer Mode (MTK) kwa Mobileuncle tools na kwa MTK Engineering Mode app bofya MTK settings.
- Chini ya Connectivity bofya CDS Information kisha bofya Radio Information.
- Kisha chagua Phone1 au Phone2 kwa chumba cha laini husika unachotaka kubadili IMEI.
- Utaona mstari wa maagizo ulioandikwa AT+
- Kwa IMEI ya Phone1 ingiza AT+ EGMR=1,7,”imei mpya” na mabano yake, kisha bofya Send Command. (Usisahau kuacha nafasi kati ya AT+ na EGMR)
- Kwa namna hiyohiyo unaweza tumia AT+ EGMR=1,10,”imei mpya” kama maagizo ya Phone2.
- Sasa waweza angalia imei yako mpya/iliyobadilishwa kwa kupiga(au kuandika kwenye dialpad yako) *#06#.
Hapo utakuwa tayari umebadilisha imei yako.
Unaweza ukataka kujua;