Thursday, 21 December 2017

Jinsi ya kuifungua simu iliyofungwa kutumia laini ya aina moja.

Watu wengi tulidanganyika na mitandao ya simu kama vile vodacom,tigo,n.k kwenda kununua simu kutoka kwao kwa sababu kama vile
  • Kuwekewa vifurushi vya bure
  • Kupata punguzo la bei
Lakini hii imeishia kututesa sisi wenyewe kwani, mda mwingine kunakuwa na huitaji wa kuweka laini ya mitandao mingine kwenye simu husika sanasana tukisafiri na kufika sehemu ambapo mtandao huo wa simu unasuasua. Kibaya zaidi simu hiyo iwe ni ya laini moja.
Sasa hata mimi mwenyewe niliwahi kuwa mhanga wa ajali hiyo. Nilijaribu njia nyingi zikashindikana ila nikafanikiwa kupata njia mbili.

1.Kutumia MTK Engineering Mode

Andika *#*#3646633#*#* kwenye dialpad yako ya simu ambayo unataka kuifungua.(Ikikubali endelea na step nambari 2).

Kisipo tokea chochote unatakiwa kuwa na;
  • salio au kifurushi cha internet cha kuweza kupakua 5mb au zaidi
Ukiwa navyo hivyo vote, pakua applikesheni ya "MTK Engineering Mode" au "Mobileuncle Tools" kutoka playstore alafu install kisha fuata maelekezo ya fuatayo:
  1. Fungua applikesheni alafu bofya Engineer Mode > Engineer Mode (MTK) kwa Mobileuncle tools na kwa MTK Engineering Mode app bofya MTK settings.
  2. Itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY
  3. Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf chagua hapo
  4. Utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK
  5. Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes
    (Tumia 12345678 kwa simu za tigo haswa tecno y3+.... jaribu hiyo code hata kwa simu nyingine na zikikataa unahitaji mambo matatu; aina ya simu( NOKIA, SASUMG, LG , etc) - IMEI No, Model yake( Nokia 5200, LG kC910. etc), na kampuni iliyokuwa locked( Tigo, Zain, Vodaphone, vodacom, Safaricom. etc). software nyingi za kunclok zinacalculate unlocking code kutimia input variables za IMEI NO ya simu na Jina la kampuni simu iliyokuwa locked in . Kila kampuni ya simu duniani ina identityy number yake. Kwa hiyo hizo software ziantumia hizo varibles mbili ku unlock. Sasa ukishajua hivyo unatakiwa kutafuta moja ya sites hizo ili uate code yako.)
  6. kishamaliza hapo bonyeza button ya back(nyuma) mara moja, Utaona PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo.
  7. Izime alafu iwashe(Restart)
  8. Avadacadabra!!! Na utakuwa tayari umeifungua simu yako.

2.Kuiflash simu au kubadilisha operating system/android

Nenda kwa fundi ukaiflash simu(Kwa blackberry haitowezekana kwa hii njia) au we mwenyewe unaweza kudownload "roms" mbalimbali kwa ajili ya simu yako na kuziinstall kwenye simu yako.

Kumbuka kufactory reset hakuwez kuifungua simu yako Pia, unaweza kutaka kujua;