Thursday, 21 December 2017

Jinsi ya kuifanya simu yako ya blackberry itumie vifurushi vya kawaida vya intaneti.

Utangulizi

Wamiliki wengi wa simu za blackberry wanaangaika sana baada ya kuona simu zao zimewekewa vifurushi maalum vya intaneti ambavyo mara nyingi huwa ni vya gharama sana. Baada ya kumalizana na chapisho hili wale walio zichimbia simu zao chini wataenda kuzifukua kwani kipindi hiki cha Raisi wetu Magufuli ni kigumu sana kwa mtu kutumia vifurushi hivyo maalum. Huitaji ujuzi wa progamu yoyote ile wala kifurush chochote ili kufanikisha zoezi hili.

Maujanja